43
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ameelekeza mchakato wa fedha shilingi bilioni 2 za Watengeneza Maudhui kukamilika ndani ya mwezi huu wa pili na kuanza kugawiwa Machi, 2026.
Ametoa agizo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, akisisitiza kuwa fedha hizo zimetengwa kwa ajili yao ikiwa ni mapenzi ya dhati ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutambua mchango wao katika kujipatia kipato na ajira.
View this post on Instagram
