Madereva watakaofaulu katika mafunzo haya watapata fursa ya ajira katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT). Hata hivyo, vigezo na masharti ya ajira hizo yatazingatiwa.
[pdf-embedder url=”http://nchibora.com/wp-content/uploads/2026/02/64bdda2b7d984ddb89750c2fee32f9ed.pdf”]
