Dar es Salaam. Tanzania na Uganda zimesaini Hati ya Makubaliano ya kuiendeleza Tanga kuwa kitovu cha nishati cha kikanda, katika hafla iliyofanyika Agosti 6, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam. …
-
-
Dar es Salaam. Wakati Watanzania na raia wa kigeni wakijiandaa kushuhudia Tamasha la Kizimkazi 2026, swali linalojitokeza kwa wengi ni nini hasa kinacholifanya eneo hili la Kusini mwa Unguja kuwa …
-
Habari
Makubaliano ya Kimkakati yasainiwa Africa50, Samia Ataka Afrika Iharakishe Utekelezaji wa Miradi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Afrika inapaswa kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya miundombinu na uwekezaji ili kufikia malengo ya …
-
Waziri wa fedha Balozi Khamisi Musa Omar amesema ,Africa50 imeonyesha kuwa taasisi zinazoongozwa na Waafrika zinaweza kwa mafanikio kuhamasisha mitaji, kuandaa miradi inayovutia uwekezaji. Amesema hayo katika Mkutano mkuu wa …
-
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara rasmi nchini kuanzia tarehe 5 hadi 6 Agosti 2026 kufuatia mwaliko wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wakati wa ziara hiyo, Rais …
