Nchi Bora
  • Habari

    Rais Samia kupunguza msafara wake ili kubana matumizi ya mafuta serikalini

    by Joshua Kiziba April 9, 2026
    April 9, 2026

    Dodoma: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amechukua hatua madhubuti za kubana matumizi ya mafuta serikalini kwa kuelekeza kuwa watumishi na maafisa wa ofisi yake watakaofuatana naye katika safari za kikazi …

    Read more
  • Habari

    TAZARA revival efforts receive boost from Chinese delegation

    by Joshua Kiziba April 8, 2026
    April 8, 2026

    Dar es Salaam: The Government of Tanzania’s efforts to revitalise the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) have gained fresh momentum after senior officials from China Railway Construction Corporation (CRCC) reaffirmed their …

    Read more
  • Habari

    Matumizi ya awali ya Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma yapunguza foleni

    by Joshua Kiziba April 8, 2026
    April 8, 2026

    Dodoma: Matumizi ya awali ya barabara ya Mzunguko wa Nje ya Jiji la Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) yameanza, hatua inayochangia kupungua kwa kiasi kikubwa cha msongamano wa magari ndani …

    Read more
  • Habari

    Tanzania na Urusi zasaini makubaliano ya ushirikiano sekta ya uchukuzi

    by Joshua Kiziba April 8, 2026
    April 8, 2026

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Urusi zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya uchukuzi, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha maendeleo …

    Read more
  • Historia

    Miaka 54 ya kifo cha Mzee Abeid Amani Karume

    by Joshua Kiziba April 7, 2026
    April 7, 2026

    Zanzibar:  Miaka 54 iliyopita, Aprili 7, 1972, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume aliuwawa kwa kupigwa risasi katika jengo la Makao …

    Read more
Newer Posts
Older Posts

Address

Plot 64, Lugalo Street - Dar es Salaam

E-mail

info@nchibora.com

Phone Number

+255 764 359 101

Back To Top
Nchi Bora